Ni pamoja na faida ya Joomla!:
* Usasishaji rahisi
* Matengezo rahisi ya tovuti
* Usalama na uthabiti bora
* Viungo vyanguvu - vyabure na vya aina ya biashara
* Aina nyingi za templeti ni rahisi kubadilisha katika maonyesho ya tovuti yako
Ni maaru sana na ni mojawapo katika dunia iliyo na jukwaa kubwa la CMS. Na imeshushwa zaidi ya mara milioni thalathini na tano, na kwa sasa iko na zaidi ya lugha sitini na nne. Na katika Joomla unaweza kutengeza tovuti ya kibinafsi rahisi sana na ikapendeza sana, na pia wa kibiashara, wa kijamii na unaweza kuwa na watembeleaji wengi sana na nirahisi kuiunganisha na vitu vigine kama facebook na vinginevyo kwa kutumia kimatumizi ya kisasa kwa wazee na vijana pia.
Na kwa mifano angalia tovuti za makampuni na zakisekali zilizo na msingi wa Joomla! Yaani zilizo tumia Joomla bofya hapa.
Jina la Joomla! linatoka kwaneno la Swahili la jumla, hii inamaanisha ‘kwa yote’. Hii inaonyesha kwa roho ya Joomla! Ni ujamaa ulio na wanakamati zaidi ya laki tano. Ni watu wote ambao wa changia Joomla!, Ni programu ilio na misimbo yake na pia viungo vingi, ni kazi ya kujitolea pekee na si kazi ya kulipwa kwa tuna washukuru watu wote walio jitolea kwa kazi hii ngumu sana tuna wapa pongezi zote.
Angalia vidio ya "Kuhusu Joomla" (kwa kingereza) katika Youtube