Joomla 3.4.3 ni toleo la marekebisho la mfululizo wa Joomla 3. Unashauriwa kuwa ni muhimu sana kusasisha wavuti wako.
Toleo la 3.4.3 linarekebisha maswala yafuatayo:
- Ubadilisho wa jina la faili kutoka kwa ClassLoader.php na classloader.php umesababisha matatzio au inaweza kumvunja CMS.
- Kulikuwa na maonyo ya eneo batili wakati wa kutengeza menyu ya Tafuta ya Kijanja au orodha ya mawasiliano.
- Kwa wovuti wa lugha nyingi, chaguo la hesabu limewezeshwa kwa daima katika JCategories. Basi viendelezo ambavyo vinatumia kipengele hiki vimeshindwa.
- Wakati wa kutengeza moduli, makala au jamii, iliotumia thamani ya difoti ya makosa kwa kiwango cha kuingia. Badala ya usanidi wa kidunia haikuchukua marekebisho yoyote, basi iliotumia thamani ya juu ya orodha ya (Wageni).
- Marekebisho tofauti ya modeli wa batch.