Jumatatu, 28 Aprili 2014 05:20

Joomla! 3.1.1 imara iliotolewa

Written by
Rate this item
(0 votes)

Joomla 3.1.1 inapatikana sasa. Hii haikutolewa kiusalama. Lengo lakutolewa nikurekebisha matatizo ya toleo la 3.1.0. Na lengo la timu ya uongozi ni kuendelea kutowa mara kwa mara. Usasishaji wa kila mara kwa jumuiya ya Joomla.

Na usakinishaji ni rahisi sana. Ni kuingia tu upande wa nyuna wa msimamizi (administrator side) katika tovuti yako na kubofya kibonyezo cha sakinisha na hapo. Vinginevyo, Na unaweza kushusha kamili au kusakinisha paketi kutoka kwa tovuti ya joomla kama ilivyoelezwa hapo chini. Unashauriwa kusoma maelezo ya toleo kwanza Ilani na unashauriwa kufanya backup kwanza ya tovuti yako kabla ya kwenda kwa toleo jipya. Kwa uboresho wa matoleo ya awali. Angalia ilani hapo chini.

Kushusha

Usakinishaji mpya: Bofya hapa kwa kushusha Joomla 3.1.1 (paketi kamili) »
Paketi ya kusasisha: Bofya hapa kwa kushusha Joomla 3.1.x to 3.1.1 (paketi ya kusasisha) »

Maelezo ya matoleo

Joomla 3.1.1 inahusiana:

- Hakuna masuala ya usalama ya kudumu
- Idadi 11 za masuala ya kudumu

Angalia http://developer.joomla.org/version-3-1-1-release-notes.html kwa maelezo ya toleo.

Na pia kagua Joomla 3.1.1 Post-Release FAQs kwa kuona kama kuna vitu muhimu na msaada wa muangaza uliogundua baada ya kutolewa.

Ni jinsi gani naweza kusasisha kutoka Joomla! 3.0 kwa 3.1?

Joomla 3.0 kwa 3.1 ni ubofyaji-mmoja kwa uboresho wa kinyume ni utangamano na sio uhamaji. Huu ni ukweli kwa ajili ya matoleo yotote kwa baadaye katika mfulilizo wa Joomla 3. Hivyo, ikiwa unatumia Joomla 3.0 katika tovuti, tafadhali ubofyaji-mmoja kwa uboresho, ndani ya Joomla! Sasisha componenti, kwa Joomla 3.1 kwa kupata vipengele vipya vya hivi karibuni na mende (bugs) kwa kunasa.

Ni hadhi gani ya Joomla! 2.5?

Toleo 2.5 la Joomla! CMS ni la muda mrefu kutolewa msaada na msaada utaendelea mpaka muda mfupi baada ya Joomla 3.5 imepangwa mpaka springi 2014. Joomla 2.5 watumiaji hawana haja yakuhamia kwa Joomla 3.1.

Will I be able to update directly to Joomla! 3 from Joomla! 2.5?

Hamia kwa Joomla 3.x kutoka kwa Joomla 2.5 itakuwa ni uhamiaji-mdogo na si uboreshaji, hata ingawa ni ya ukuu wa Joomla! the uhamiaji unapaswa uwe rahisi. Hata hivyo, kuna uwezekano kwamba templeti za Joomla 2.5 kutatakiwa marekebisho kwa kuweza kufanya kazi kwa Joomla 3 na pia viungo vitaka makebisho. Jaribu kila mara kabla ya kuhamia na kushauriana na watengezaji wa viungo vyovyote na templeti unazo weza kutumia.

Hassan Ayeko

Hassan ni mtaalamu wa masuala ya IT pia ni mkalimani mkuu wa Joomla Kiswahili (Joomla Coordinator for Swahili language)

www.att-center.de