Jumanne, 30 Juni 2015 03:55

Joomla! 3.4.2 inapatikana

Written by
Rate this item
(0 votes)

Toleo la 3.4.2 linalotengeza maswala mawili ya usalama wa mfululizo wa Joomla 3.x.

Je unatumia Joomla kwa Kiswahili? Usisahau kusasisha paketi ya lugha!

 

Kuna nini ndani ya 3.4?

Toleo la 3.4 linaeleza vipengele vipya vya CMS, kiama vile maendeleo ya kuharii moduli katika upande wa mbele, mzunduo wa viungo vya mtandao, Google reCaptcha mpya, na maendeleo ya usalama kwa kufahamisha kodi ya UploadShield ambayo inaweza kugundua ubaya mwingi kwa kukagua majina na yaliyomo kwa mafaili.

 

TAARIFA: Huduma ya “Sakinisha kutoka kwa Mtandao” umeregea tena!

Kwa maelezo kuhusiana na bugs 260 yamesuluhishwa katika toleo 3.4, angalia orodha ya GitHub.

Kwa maswala ya matatizo yaliojulikana ya toleo la 3.4.2, angalia Version 3.4.2 FAQ.

Hassan Ayeko

Hassan ni mtaalamu wa masuala ya IT pia ni mkalimani mkuu wa Joomla Kiswahili (Joomla Coordinator for Swahili language)

www.att-center.de