Jumatatu, 28 Aprili 2014 05:20

Joomla! 3.1.1 imara iliotolewa

Written by

Joomla 3.1.1 inapatikana sasa. Hii haikutolewa kiusalama. Lengo lakutolewa nikurekebisha matatizo ya toleo la 3.1.0. Na lengo la timu ya uongozi ni kuendelea kutowa mara kwa mara. Usasishaji wa kila mara kwa jumuiya ya Joomla.

Na usakinishaji ni rahisi sana. Ni kuingia tu upande wa nyuna wa msimamizi (administrator side) katika tovuti yako na kubofya kibonyezo cha sakinisha na hapo. Vinginevyo, Na unaweza kushusha kamili au kusakinisha paketi kutoka kwa tovuti ya joomla kama ilivyoelezwa hapo chini. Unashauriwa kusoma maelezo ya toleo kwanza Ilani na unashauriwa kufanya backup kwanza ya tovuti yako kabla ya kwenda kwa toleo jipya. Kwa uboresho wa matoleo ya awali. Angalia ilani hapo chini.

Jumapili, 27 Aprili 2014 05:20

Ni nini Joomla?

Written by

Joomla ni mshindi wa tuzo la mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (Content Management System, CMS) ambayo itakuwezesha kujenga tovuti na nguvu za maombi ya online. Iliyo na vipengele vingi, pamoja na urahisi wa matumizi yake na uwezo wa maongezo yake, iliyofanya Joomla software maarufu sana ambayo inapatikana kwa tovuti. Ubora wote, Joomla ni chanzo cha wazi cha uvumbuzi ambacho ni huru kwa kila mtu.

Swahili (kiswahili) ni lugha ya taifa katika nchi tano: Tanzania, Kenya, Congo (DR), Comoros na Uganda na pia Rwanda, pia inatumika kaskazini Mozambique, Burundi, Malawi na kusini Sudan. Na inakadiriwa na ratiba kama milioni nne ya watu wanaongea kiswahili kama lugha yao ya asili, na kwa ujumla ya watu milioni miamoja wanaongea kiswahili.

Katika makala zangu zilizopita, nimeongelea umuhimu wa kusasisha (asante Kaka Hassan kwa kuniongezea msamiati mwingine), sio tu utaongeza ufanisi na usalama wa wavuti yako, bali pia itakuwezesha kuhakikisha unakuwa na wavuti salama na iliyo bora. Ingawa mengi yameiongelewa, mengi yameandikwa, lakini ni ukweli usiopingika kuwa wengi wetu bado tunatumia Joomla 1.5.

Jumanne, 22 Aprili 2014 11:20

Je nitumie Joomla 2.5 au 3?

Written by

Nimekuwa nikipokea email na hata simu toka kwa baadhi ya wateja wangu au watu mbalimbali ambao wamekuwa wakisoma makala au kuangalia mafundisho yangu.Moja ya swali ambalo limekuwa likijirudia ni kuwa, tayari Joomla 3 imeshatoka, je kwanini nisiende moja kwa moja hadi Joomla 3 badala ya 2.5? Ili kujibu swali hili kuna mambo kadhaa inabidi kuzingatia.

Ukurasa 2 ya 4