Msanidi wa upanuzi - fanya watumiaji wako wawe nauwezo wa kusaidia, kwa kuifanya wazi data ambayo ugani wako unakusanya. Unapotaka kutoa ripoti ya utendaji katika ugani wako ambao unaweza kuhitaji kuzingatia faragha, tu tumia Tukio la Plugin mpya (kwenye PrivatePollectAdminCapabilities).
Kwa hatua hii rahisi, watumiaji wako wanapata uelewa wazi wa ugani wako, na kama watahitaji kurekebisha nyaraka zao wenyewe, kama sera yao ya faragha au masharti ya huduma.

Jumanne, 30 Aprili 2019 00:00

Joomla 3.9.5 inapatikana

Written by

Joomla 3.9.5 ni toleo la marekebisho la mfululizo wa Joomla 3. Unashauriwa kuwa ni muhimu sana kusasisha wavuti wako.

Toleo la 3.9.5 linarekebisha maswala yafuatayo:

  • Ubadilisho wa jina la faili kutoka kwa ClassLoader.php na classloader.php umesababisha matatzio au inaweza kumvunja CMS.
  • Kulikuwa na maonyo ya eneo batili wakati wa kutengeza menyu ya Tafuta ya Kijanja au orodha ya mawasiliano.
  • Kwa wovuti wa lugha nyingi, chaguo la hesabu limewezeshwa kwa daima katika JCategories. Basi viendelezo ambavyo vinatumia kipengele hiki vimeshindwa.
  • Wakati wa kutengeza moduli, makala au jamii, iliotumia thamani ya difoti ya makosa kwa kiwango cha kuingia. Badala ya usanidi wa kidunia haikuchukua marekebisho yoyote, basi iliotumia thamani ya juu ya orodha ya (Wageni).
  • Marekebisho tofauti ya modeli wa batch.

Jumapili, 05 Julai 2015 03:11

Joomla 3.4.3 inapatikana

Written by

Joomla 3.4.3 ni toleo la marekebisho la mfululizo wa Joomla 3. Unashauriwa kuwa ni muhimu sana kusasisha wavuti wako.

Toleo la 3.4.3 linarekebisha maswala yafuatayo:

  • Ubadilisho wa jina la faili kutoka kwa ClassLoader.php na classloader.php umesababisha matatzio au inaweza kumvunja CMS.
  • Kulikuwa na maonyo ya eneo batili wakati wa kutengeza menyu ya Tafuta ya Kijanja au orodha ya mawasiliano.
  • Kwa wovuti wa lugha nyingi, chaguo la hesabu limewezeshwa kwa daima katika JCategories. Basi viendelezo ambavyo vinatumia kipengele hiki vimeshindwa.
  • Wakati wa kutengeza moduli, makala au jamii, iliotumia thamani ya difoti ya makosa kwa kiwango cha kuingia. Badala ya usanidi wa kidunia haikuchukua marekebisho yoyote, basi iliotumia thamani ya juu ya orodha ya (Wageni).
  • Marekebisho tofauti ya modeli wa batch.

Jumanne, 30 Juni 2015 03:55

Joomla! 3.4.2 inapatikana

Written by

Toleo la 3.4.2 linalotengeza maswala mawili ya usalama wa mfululizo wa Joomla 3.x.

Je unatumia Joomla kwa Kiswahili? Usisahau kusasisha paketi ya lugha!

Kuna nini ndani ya 3.4?

Toleo la 3.4 linaeleza vipengele vipya vya CMS, kiama vile maendeleo ya kuharii moduli katika upande wa mbele, mzunduo wa viungo vya mtandao, Google reCaptcha mpya, na maendeleo ya usalama kwa kufahamisha kodi ya UploadShield ambayo inaweza kugundua ubaya mwingi kwa kukagua majina na yaliyomo kwa mafaili.

TAARIFA: Huduma ya “Sakinisha kutoka kwa Mtandao” umeregea tena!

Kwa maelezo kuhusiana na bugs 260 yamesuluhishwa katika toleo 3.4, angalia orodha ya GitHub.

Kwa maswala ya matatizo yaliojulikana ya toleo la 3.4.2, angalia Version 3.4.2 FAQ.

Jumanne, 06 Mai 2014 14:25

Sasisha kwa Joomla! 3.3

Written by

Joomla! inatangaza matoleo yafuatayo 3.2.4 na 3.3.

Ikiwa kwa sasa unatumia Joomla! 3.2 katika seva ya PHP 5.3.10 au juu, unashauriwa usasishe Joomla! 3.3 upesi kulingana na nafasi yako. Ukitumia utaratibu huu, unashauriwa utumie kipengele cha kusasisha katika upande wa nyuma wa wavuti wako, au ushushe kutoka kwa http://www.joomla.org/download.html.

Kwa wavuti walio na PHP chini ya toleo 5.3.10, nilazima watumie Joomla 3.2.4.

Ukurasa 1 ya 4