Jumanne, 01 Aprili 2014 05:23

Joomla 3.2.x inapatikana sasa

Written by
Rate this item
(0 votes)

Usakinishaji ni rahisi sana. Ni kuingia tu upande wa nyuma wa msimamizi (administrator side) katika tovuti yako na kubofya kibonyezo cha sakinisha. Vinginevyo, na unaweza kushusha kamili au kusakinisha paketi kutoka kwa tovuti ya Joomla kama ilivyoelezwa hapo chini. Unashauriwa kusoma maelezo ya toleo kwanza. Ilani na unashauriwa kufanya backup ya wavuti wako kabla ya kwenda kwa toleo jipya. Kwa uboresho wa matoleo ya awali, angalia ilani hapo chini.

Kushusha

Usakinishaji mpya: Bofya hapa kwa kushusha Joomla 3.2.x (paketi kamili) »
Paketi ya kusasisha: Bofya hapa kwa kushusha Joomla 3.x to 3.2.x (paketi ya kusasisha) »

Angalia http://developer.joomla.org/version-3-2-3-release-notes.html kwa maelezo ya toleo.

Toleo 2.5 la Joomla! CMS ni la muda mrefu kutolewa msaada na msaada utaendelea mpaka muda mfupi baada ya Joomla 3.5 imepangwa mpaka springi 2014. Joomla 2.5 watumiaji hawana haja yakuhamia kwa Joomla 3.2.

Nitaweza kusasisha moja kwa moja kwa Joomla! 3 kutoka kwa Joomla! 2.5?

Hamia kwa Joomla 3.x kutoka kwa Joomla 2.5 itakuwa ni uhamiaji-mdogo na si uboreshaji, hata ingawa ni ya ukuu wa Joomla! wa uhamiaji unapaswa uwe rahisi. Hata hivyo, kuna uwezekano kwamba templeti za Joomla 2.5 kutatakiwa marekebisho kwa kuweza kufanya kazi kwa Joomla 3 na pia viungo vitataka marekebisho. Jaribu kila mara kabla ya kuhamia na kushauriana na watengezaji wa viungo vyovyote na templeti unazo weza kutumia.

Hassan Ayeko

Hassan ni mtaalamu wa masuala ya IT pia ni mkalimani mkuu wa Joomla Kiswahili (Joomla Coordinator for Swahili language)

www.att-center.de