Jee? una mawaitha yoyote ya kutuelaza usiogope wala usijali tujulishe tu wazo lako?
tungependa kupata au kusikia wazo lako la kiurafiki kwa kila atakae tembelea Jukwa hili wazo lako ndio maendleo ya kiusaidizi wa maendeleo asante sana, kwa usahaba mwema wa kimandeleo ya mbeleni kwa nyuso zetu.
This message contains confidential information