Ni nini Joomla?

Joomla ni mshindi wa tuzo la mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (Content Management System, CMS) ni cms ambazo zitakuwezesha kujenga wavuti wa nguvu sana, na kuweza kubadilisha online, na pia zina kasi nyingi sana kwa wavuti. Ziko na vipengele vingi sana, pamoja na urahisi wa matumizi yake na uwezo wa maongezeko yake, zilifanya Joomla kuwa programu maarufu sana, Je ushabadilisha wavuti wako kwa Joomla. Ubora wote, Joomla ni chanzo cha wazi cha uvumbuzi ambacho ni huru kwa kila mtu. Na pamoja na faida ya Joomla! ni:

* Usasishaji rahisi
* Utengezaji rahisi wa wavuti
* Usalama na umadhubuti bora
* Viendelezo vyanguvu - vyabure na pia vya kibiashara
* Aina nyingi za templeti na ni rahisi sana kubadilisha katika maonyesho ya wavuti wako

Wapi utapata Joomla?

* Shusha Joomla: http://www.joomla.org/download.html
* Shusha paketi ya lugha ya kiswahili kwa Afrika Mashariki na nchi zote zinazotumia kiswahili: http://joomlacode.org/gf/project/jtranslation3_x/frs/?action=FrsReleaseBrowse&frs_package_id=6550

Wapi utapata viendelezo?

* Shusha viendelezo: http://extensions.joomla.org/

Wapi unaweza kupata uwekaji wa kumbukumbu za Joomla?

* Uwekaji wa kumbumbu kwa kiingereza: http://docs.joomla.org/

Wapi utapata usaidizi wa Joomla?

* Majadiliano ya kiingereza: http://forum.joomla.org/ (wavuti wa kiingereza)
* Majadiliano ya kiswahili http://www.joomlaeastafrica.org/forums (wavuti wa kiswahili)
* Usaidizi wa kiswahili: http://joomlaeastafrica.org/ (wavuti wa kiswahili)
* Usaidizi wa kibiashara: http://resources.joomla.org/ (wavuti wa kiingereza)

Matukio ya mkoa / Siku za Joomla!

Ujumuiya wa mitaa wa dunia nzima unaorekebisha Siku za Joomla!. Siku za Joomla! ni matukio ya kipekee kwa watumiaji, na mrada wa Joomla! ambao kawaida unavutia watazamaji wa mitaa. Kwa maelezo zaidi: http://community.joomla.org/events

Vikundi vya watumiaji wa Joomla (Joomla User Groups, JUG)

Vikundi vya watumiaji wa Joomla vya mitaa (JUG) ni njia bora ya kuwasiliana na watu, kwa kupata usaidizi wa mrada, au kubadilisha mawazo na watumiaji wengine wa Joomla. Joomla iko karibu kila sehemu duniani - angalia katika mtaa wako kama kuna JUG. Kama hakuna, itakubidi ufikirie kama ni mrada mzuri.


* JUGs za Africa: http://community.joomla.org/user-groups/africa
* JUG FAQ: http://community.joomla.org/user-group-faqs.html

Ni vipi kusaida katika Joomla?


* Nikujibu maswali katika kongamano zozote za Joomla!
* Andika au tafsiri mafunzo (tutorial) au uwekaji wa kumbukumbu
* Endeleza viendelezo au templeti
* Jaribu au ongeza maoni na ripoti za suala: http://docs.joomla.org/How_do_you_report_a_bug%3F
* Jiunge na kikundi cha kazi ya Joomla!
* Unga mkono katika matukio ya Joomla!
* Saidia katika njia zingine, angalia http://contribute.joomla.org/


Kwa maelezo zaidi kwa lugha ya kiingereza, angalia wavuti rasmi wa Jooma!