menu
  • Mwanzo
  • Joomla! kwa Kiswahili
    • Joomla! glossary kwa kiswahili
    • Wavuti wa Joomla 3X
    • JoomlaDay Kenya
    • Kuhusu Joomla!
  • Forum
  • Blogu
  • Vidokezo na Maarifa
  • Kuhusu sisi
  • Mawasiliano
  • English
    • About Joomla
    • About Us

Viungo vya Ufafanuzi

Joomla! 3.9 Inapatikana sasa

Tufwate utamaduni wetu ni muhimu sana. Usisahau asili yako!

 

Maunganisho ya kiduni kwa Joomla!

 

Usaidizi wa maendeleo na utekelezaji Mradi wa Joomla!

 

Utaratibu wa ukuaji na juhudi za elimu duniani kote wa Joomla!

 

Blogu Mpya

  • Hassan Ayeko Weka watumiaji wako kwenye picha inapokuja faragha ... Na skrini mpya ya upanuzi ya uwezo na API
    Written by Hassan Ayeko
    Weka watumiaji wako kwenye picha inapokuja faragha ...  Na skrini mpya ya upanuzi ya uwezo na API Msanidi wa upanuzi - fanya watumiaji wako wawe nauwezo wa kusaidia, kwa kuifanya wazi data ambayo ugani wako unakusanya. Unapotaka kutoa ripoti ya utendaji katika ugani wako ambao unaweza kuhitaji kuzingatia faragha, tu tumia Tukio la Plugin mpya (kwenye PrivatePollectAdminCapabilities).Kwa hatua hii rahisi, watumiaji wako wanapata uelewa wazi wa ugani…
    Written on %PM, %30 %504 %2019 %13:%Apr
  • Hassan Ayeko Joomla 3.9.5 inapatikana
    Written by Hassan Ayeko
    Joomla 3.9.5 inapatikana Joomla 3.9.5 ni toleo la marekebisho la mfululizo wa Joomla 3. Unashauriwa kuwa ni muhimu sana kusasisha wavuti wako. Toleo la 3.9.5 linarekebisha maswala yafuatayo: Ubadilisho wa jina la faili kutoka kwa ClassLoader.php na classloader.php umesababisha matatzio au inaweza kumvunja CMS. Kulikuwa na maonyo ya eneo batili wakati wa kutengeza…
    Written on %AM, %30 %958 %2019 %00:%Apr
  • Hassan Ayeko Joomla 3.4.3 inapatikana
    Written by Hassan Ayeko
    Joomla 3.4.3 inapatikana Joomla 3.4.3 ni toleo la marekebisho la mfululizo wa Joomla 3. Unashauriwa kuwa ni muhimu sana kusasisha wavuti wako. Toleo la 3.4.3 linarekebisha maswala yafuatayo: Ubadilisho wa jina la faili kutoka kwa ClassLoader.php na classloader.php umesababisha matatzio au inaweza kumvunja CMS. Kulikuwa na maonyo ya eneo batili wakati wa kutengeza…
    Written on %AM, %05 %091 %2015 %03:%Jul

Vidokezo na Maarifa

  • Ngaranyiza Je unajua ninani aliyefanya nini, na wakati gani Tathmini, ya upelekaji wa uojoto na batli za vitendo vya mtumiaji?
    Written by Ngaranyiza
    Je unajua ninani aliyefanya nini, na wakati gani Tathmini, ya upelekaji wa uojoto na batli za vitendo vya mtumiaji? Unataka kujua vitendo gani vya utawala vimefanyika kwenye tovuti yako? Shukrani kwa Joomla 3.9, Watumiaji Wapya wanaweza kuona urahisi mtumiaji…
    Written on %AM, %30 %428 %2019 %11:%Apr
  • Ngaranyiza Rahisisha kazi ya mahitaji ya faragha na madata Matekelezaji ulikuwa usio mgumu
    Written by Ngaranyiza
    Rahisisha kazi ya mahitaji ya faragha na madata  Matekelezaji ulikuwa usio mgumu Unahitaji watumiaji kukubali sera yako ya faragha na / au masharti na hali? Na Joomla 3.9, yote yanatunzwa moja kwa…
    Written on %AM, %30 %382 %2019 %10:%Apr
  • Ngaranyiza Mazingatio ya usalama wa joomla kwa mawebmaster Joomla (wanaoanza)
    Written by Ngaranyiza
    Mazingatio ya usalama wa joomla kwa mawebmaster Joomla (wanaoanza) Siku si nyinzi zilizopita tumeanza kutoa mafundisho ya matumizi ya joomla, ni dhahiri kuna watu wengi wamepata na mori na…
    Written on %AM, %10 %180 %2014 %04:%Mach
  • Ngaranyiza Makosa 5 ya mawebmaster ya Joomla na jinsi ya kuyaepuka
    Written by Ngaranyiza
    Makosa 5 ya mawebmaster ya Joomla na jinsi ya kuyaepuka Najua wengi watakuwa wapo excited mno na kutengeneza tovuti zao, ni kweli joomla inarahisisha mambo na kufanya kazi nzima ya…
    Written on %AM, %10 %281 %2014 %06:%Mach
  • Umesahau nenosiri lako?
  • Umesahau jina lako la utumiaji?

Joomla Afrika Mashariki - Jukwaa la Watumiaji wa Lugha ya Kiswahili Joomla!

Tovuti hii ya Joomla Afrika Mashariki imeanzishwa ili kuwapatia jukwaa la majadiliano, elimu na maarifa juu ya Joomla kwa watumiaji wake kutoka ukanda huu. Neno Joomla! limetokana na neno la Kiswahili "Jumla" hivyo kuna umuhimu sisi kama watumiaji wa Kiswahili kuikumbatia Joomla, kwa kufanya hivi, sio tu tutaweza kuonyesha umuhimu wake, bali pia itatuwezesha kuifahamu joomla ipasavyo tutaweza kupiga hatua kwenye matumizi yake ipasavyo.

Jukwaa hili sio tu litaweza kuwaunganisha watumiaji wa Joomla kwa kiswahili, bali pia litaweza kutoa nafasi kwa watumiaji wake kubadilishana ujuzi, maarifa pamoja na dhana mbalimbali zitumikazo kwenye Joomla.

Ndani ya Tovuti ya Joomla Africa Mashariki, utaweza kujifunza kwa njia ya Video, Makala mbalimbali toka kwa waandishi waliobobea kwenye matumizi ya Joomla pia utaweza kujadiliana na watumiaji wenza kwenye jukwaa la majadiliano.

Kwa maelezo zaidi, angalia Kuhusu Joomla Afrika Mashariki.

 

 

 

Viungo vya Ufafanuzi

Joomla! 3.9 Inapatikana sasa

Tufwate utamaduni wetu ni muhimu sana. Usisahau asili yako!

 

Maunganisho ya kiduni kwa Joomla!

 

Usaidizi wa maendeleo na utekelezaji Mradi wa Joomla!

 

Utaratibu wa ukuaji na juhudi za elimu duniani kote wa Joomla!

 

Nani anatumia Joomla katika Afrika Mashariki

Onyesha wavuti wako Makampuni zaidi yanayotumia Joomla

 

  • Tufwate utamaduni wetu ni muhimu sana. Usisahau asili yako!
  • Ingia
  • Kutoka

Designed by A.T.T. Center. Copyright © 2022 A.T.T. Center. All Rights Reserved.

Back to top